Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Watsup status zinazoboa!
1.Hey there am using Watsup- tangu Siku ya kwanza watsup kajiunga 2najua hilo ndio mana unasomeka kwenye ac zetu
2.Sleeping! Siku 5, utakua umekufa wewe..😋
3. Sick for three days, watsup ni hospitali?
4.Happy wiki nzima unaishi mbinguni?😬
5. Driving for 7 days, utakua umefika Dubai Sasa
6. At the movies wiki nzima! Loh unafanya kazi movie theater au unauza popcorn?
7. I can't talk watsup only! Tupa simu hiyo matumizi makuu ya cm ni kuongea😀
8.urgent calls only! We ni askari au ambulance?
Long weekend Kareem
hahahahh ila ni kweli. Kuna binti alikuwa anasafiri akaweka " on flight" hadi leo, sasa sijui anaenda sayari ya Mars au vipi
duh mkuu hii ingetakiwa ifunguliwe thread unahasira sanaI hate people ambao muda wote ni comments za WhatsApp status, profile photo... "badilisha status kidogo", "weka picha basi", all day is about comments...Hivi huwa hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kutembelea profile za watu? Tena utakuta mtu mzima na akili zake.
Wewe una account yako, na you can do alot with it, hata kuitaka kupiga picha ukiwa uchi, piga then weka, lakini sio kuleta usumbufu wa watu wengine. Kuna watu ni watumwa wa simu( wanaitumikia simu and not otherwise) yaani status inabadilika kila baada ya nusu saa, tena na picha juu, halafu alipatwa na shida lazima aitangaze hapo, halafu wewe masikini kutokuiona(wether si kawaida yako au ni kawaida yako lakini hukuwa na muda) eti nayo ni shida...tena wengine wanakurupika usiku usiku kukueleza amebadilisha status, profile picture or so!
Not every aspect of your life is public matter..If you dont have privacy, others do respect it..afterall almost all profile photo, status is showing off.
duh mkuu hii ingetakiwa ifunguliwe thread unahasira sana
Eti mtu ananiambia badilisha profl pic yako....lol...sasa inakuhusu nn profil pic yangu and why should u dictate me
mblockHakika, unajua kila mtu ana privacy yake na anajaribu kufanya/kuendesha maisha anavyoweza sasa unaweza kuwa 'busy', halafu kila baada ya dakika kumi mtu anataka a_comment tu! Sasa unabakia unateseka mkuu.