Whatsapp server down again

geothan

Member
Oct 3, 2014
12
4
Wajuzi wamambo embu naomba mnieleze ni nini kinaikumba whatsapp siku za hivi karibuni muda huu tena server hazifany kazi na karibu dunia nzima hakuna services ya whatsapp.
Kama sikosei wiki mbili au tatu zilizopita kulitokea tatzo hili na likawa solved ila leo limejitokeza tena ni nini haswa kinasumbua maana mtamdao mkubwa kama WhatsApp ishu kama hzi hazitakiwi kuwepo inabidi kuwe na backup server.
Wajuzi mnijuze kidogo nini shida kubwa kwa hii mitandao maana nshazoea tigo ndo walete hizi tabu ila leo naona wazungu wenyewe wenye mitambo yao wanapata hii tabu.
 
Labda tishio la kimtandao lililotokea hivi karibuni duniani though sina hakika sana
 
Labda tishio la kimtandao lililotokea hivi karibuni duniani though sina hakika sana
 
Back
Top Bottom