Hii kitu tumeinjoy buree features zote lakini tangia jana..Bure no more.... ambapo developer kaachia latest version kutoka v4.92 to v4.95,HIDING LAST SEEN needs u to pay.
Na wewe ni mhanga wa hii?
UPDATE::
Ile link ya kupata WhatsApp Plus v4.95 ambayo tayari ni cracked angalia HAPA