Dextereous
Member
- Jan 1, 2016
- 44
- 16
Habari zenu wana jf
Kuna tatizo ambalo nali-experience kwenye simu yangu ya Android. Kama kuna mtu ana ujuzi nalo naomba anisaidie.
Tatizo lenyewe ni kwamba; Simu yangu haionyeshi WhatsApp notification kwenye notification bar mpaka nifungue app ya WhatsApp ndio meseji au notification zinaanza kuingia.
Bila kufungua app ya WhatsApp....meseji naendelea kutumiwa bila hata kufahamu. Nikifungua tu ndio zinaanza kuingia kwa wingi.
Msaada tafadhari. Nahitaji kuwa naona notification za WhatsApp Mara tu zinapotumwa sio mpk nifungue app.