Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,617 Mar 22, 2017 #1 Naomba kupata WhasApp itakayokubali kuwa installed kwenye PC, najaribu ku-download inagoma. Mwenye hiyo Setup naomba msaada.
Naomba kupata WhasApp itakayokubali kuwa installed kwenye PC, najaribu ku-download inagoma. Mwenye hiyo Setup naomba msaada.
247 Senior Member Joined Mar 29, 2016 Posts 188 Reaction score 197 Mar 22, 2017 #2 Download kwanza android emulators kwenye Pc yako kama Andy ndipo u install android apps kwenye Pc yako.
Download kwanza android emulators kwenye Pc yako kama Andy ndipo u install android apps kwenye Pc yako.
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Mar 23, 2017 #3 247 said: Download kwanza android emulators kwenye Pc yako kama Andy ndipo u install android apps kwenye Pc yako. Click to expand... nime download na nimeeingia playstore yake nakuta whatsap naambia kwa ajili ya mobile version lakin pia nikapata ingine naambiwa ni set payment method na ina sevven day trial
247 said: Download kwanza android emulators kwenye Pc yako kama Andy ndipo u install android apps kwenye Pc yako. Click to expand... nime download na nimeeingia playstore yake nakuta whatsap naambia kwa ajili ya mobile version lakin pia nikapata ingine naambiwa ni set payment method na ina sevven day trial
S stormed JF-Expert Member Joined Jan 22, 2015 Posts 212 Reaction score 42 Mar 23, 2017 #4 Tutor B said: Naomba kupata WhasApp itakayokubali kuwa installed kwenye PC, najaribu ku-download inagoma. Mwenye hiyo Setup naomba msaada. Click to expand... Download"bluestack hii ndio njia rahisi kwa pc zote
Tutor B said: Naomba kupata WhasApp itakayokubali kuwa installed kwenye PC, najaribu ku-download inagoma. Mwenye hiyo Setup naomba msaada. Click to expand... Download"bluestack hii ndio njia rahisi kwa pc zote
B Prosper JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,547 Reaction score 4,138 Mar 25, 2017 #5 Download Andy aisee ni kiboko yao