Wakuu naomba nieleweshwe kama unaweza kuinstall WhatsApp kwenye iPad. Nawasilisha plse!
Wale Fans wa Apple Mpo wapi?? Hizi ndio Thread za KuComment..
Kwa sasa whatsapp ni kwa ajili ya simu tu. Kuweka kwenye ipad inahitaji maujanja ya ki IT zaidi na ipad yenyewe lazima uichakachue (yaani iwe jail-broken). Kama vipi hamia kwenye app inaitwa Telegram, inakuja kwa juu sana. Ni kama whatsapp na inaweza kuwa bora zaidi. Yenyewe inakaa kwenye simu, ipad, window PC, mac computers etc. Ni nzuri kwa ujumla ...
Whatsapp haikubali popote bali kwenye simu tu. wamezuia kila kona hamna kuiba wala kuibia
Kwa sasa whatsapp ni kwa ajili ya simu tu. Kuweka kwenye ipad inahitaji maujanja ya ki IT zaidi na ipad yenyewe lazima uichakachue (yaani iwe jail-broken). Kama vipi hamia kwenye app inaitwa Telegram, inakuja kwa juu sana. Ni kama whatsapp na inaweza kuwa bora zaidi. Yenyewe inakaa kwenye simu, ipad, window PC, mac computers etc. Ni nzuri kwa ujumla ...
Shukuran mkuu conman ..telegram ndio mpango mzima yaani hainatofati na whatsaap kabisa . Pengine inawaze kuwa better than whatspp maana wana restriction nyingi sana hasa kwenye hizi apple product
Hata kwa hizi zenye latest iOS pia hazikubali? Hapa namaanisha iphone na iPad Mpya
MBONA Whatsapp Inafanya kazi hata kwenye desktop ,, Laptop nyie mmekariri tu simu, tumia BLUESTACKS uta Install na kutumika vizuri tu