Whatsapp kushare status Instagram

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Mtandao wa Whatsapp ambao ukitoa feature Nyingi mpya inaonekana inachukua toa telegram
, hatimaye Whatsapp wako kwenye mchakato wa kuleta feature mpya kwenye status.

Meta inataka kufanya app zake mbalimbali kama vile Facebook, Instagram, threads na Whatsapp ziweze kuingiliana bila shida yoyote Ile ambapo kwa sasa wako kwenye majaribio ya kuwapa watu uwezo wa ku share status ya Whatsapp kwenye Instagram.


Ambapo watumiaji wa Whatsapp wataweza share status kwenye insta story na watu kuweza kuona kwa urahisi kupitia akaunti yako ya Instagram.

Ingia setting --> privacy --> status -->share my status update utaweza kuunganisha na Instagram akaunti yako Bado haijaachiwa rasmi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ