Inaleta error gani?Mb niko nazo nyingi mnoo
Unatumia cm ganIna andika pending tuu
Unatumia cm gan
Weka data server.. Then close all notification za hzo app ambazo hutaki kuzitumiaNdg na jamaa Nina simu yenyewe Ina 4G tu hakika ipo fast ajabu shida inakula bando balaa na nineshindwa kabisa kusimamisha baadhi ya apps zisifanye kazi AMBAZO nyingi ni inbuilt nifanyaje wakuu?
Ngoja nifanye hivyo! ThanksWeka data server.. Then close all notification za hzo app ambazo hutaki kuzitumia
Na jee hili tatizo langu?