geofrey senyagwa
Member
- May 9, 2014
- 57
- 46
Hapo kaa upumue tu.. Au kama unaweza mtafute umuibie simu yake alaf ujirudishie u-admin..... Vyeo vina raha yake ,mpaka u-admin mnagombeaMsaada jamani ; nilifungua group language LA whatsapp LA miziki na kulitangaza vizuri tu likawa maarufu Niliweka maadimini kadhaa kulingana na mahitaji lakini kilichonishangaza kuna siku nimeingia kwenye grupu na kujikuta Mimi sio admini tena na adimini ni mmoja tu na maadimin wote wametolewa kabaki jamaa mwingine na nikimwabia mbona umenifanyia hivi anasema mpaka nimfungulie group lingine nimuadd kuwa admin ndipo anirudishe kuwa admini na Mimi nifanyeje ili niweze kumuondoa huyu jamaa?
Na hawa ndio wakipewa kakitengo somewhere wanakuwa madikteta uchwara.yaani yeye ni yeye mwengine hapana,kwani humo kwa group haezi comment na mawazo yake yakaonekana?Hapo kaa upumue tu.. Au kama unaweza mtafute umuibie simu yake alaf ujirudishie u-admin..... Vyeo vina raha yake ,mpaka u-admin mnagombea
Madaraka matamu jamani nyie acheni tu...Mkuu unalilia hadi U-Admin?