Nenda kwenye Whatsapp Setting then ingia Charts ukifika hapo ingia Chat backup....utona sehemu imeandikwa Account so ingiza e-mail uliyokuwa umeweka kabla haujabailisha cm then press BACK UP.
Ng: Kama hukuweka e-mail yoyote, sidhani km utazpata msg zako. Labda kama kuna utaalamu mwingine.