Nami nimekutana nayo leo kwenye cm yangu lakini nimekutana na tatizo naomba unisaidie.
1.Nikizungumza na mtu inarudisha kwangu ninachokizungumza nakisikia tena.
2.Ninachokizungumza kinachukua muda kumfikia ninayezungumza naye na pia anachozungumza yeye kinachukua muda kunifikia kama inavyokuwa mawasiliano kati ya nchi mbili tofauti au miito ya mbali...
Hayo yanasababishwa na nini !? Kwani hayaleti raha katika mawasiliano.
Msaada tafadhali. Ahsante.
Tafakari...