Whatsapp: Blue Tick Read Confirmation Inakukera ?

Mkuu KIOO asante sana.

Jamani kuna watu wankera sana kwenye whatsapp akikutumia msg kama den vile anataka m chat bila mpango wowote. Heri tu kujificha.
 
Mkuu KIOO asante sana.

Jamani kuna watu wankera sana kwenye whatsapp akikutumia msg kama den vile anataka m chat bila mpango wowote. Heri tu kujificha.

Yah ni kweli mkuu Chupaku yani mtu anashindwa kufkiria kabisa kwamba huyu mtu labda amebanwa na shughuli flani hapana..............muda wote anaona ni muda wa kuchat tu usipomjibu online inakuwa ni lawama dunia nzima,INAKERA KWA KWELI.
 
Last edited by a moderator:
Mm mbona imekataa hyo njia ,natumia windows phone
 
Last edited by a moderator:
Mm mbona imekataa hyo njia ,natumia windows phone

Mmmmh,sidhani kama watumiaji wa windows phone wanaweza ku-disable hiyo kitu mkuu hii iliyopo hapa ni kwa watumiaji wa android tu kiongozi nadhani ndo mana imekataa mkuu,KARIBU.
 
mi nielekeze kuondoa last seen ..please

Mkuu kwa suala la last seen........utakapofungua application yako ya whatsapp cha kufanya ni............uta-click Menu kisha uta-click Settings baada ya hapo uta-click sehem iliyoandikwa Account kisha uta-click on Privacy then baada ya hapo utakuwa umeshafika kwenye sehem ya last seen ambayo ipo juu kabisa uta-click hapo palipoandikwa last seen sasa utachagua mwenyewe kama ni Everyone au Contact zako au No body the choice is yours mwana ally,KARIBU.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh,sidhani kama watumiaji wa windows phone wanaweza ku-disable hiyo kitu mkuu hii iliyopo hapa ni kwa watumiaji wa android tu kiongozi nadhani ndo mana imekataa mkuu,KARIBU.

Asante mkuu nmekuelewa.
 
Yaani shida yote hiyo simply ili watu wasijue kuwa nimesoma msg walizonitumia, why? Watu wangu wote wanajua kuwa saa nyingine huwa nakuwa busy kwa hiyo nisipojibu immediately wananielewa.
 
Yaani shida yote hiyo simply ili watu wasijue kuwa nimesoma msg walizonitumia, why? Watu wangu wote wanajua kuwa saa nyingine huwa nakuwa busy kwa hiyo nisipojibu immediately wananielewa.

Haya wameshakuona na wewe umekomenti mwaya endelea na yako ndugu.
 
Hivi mtu akikuandikia sms ni lazima ujibu?

Yaani,hata mi nashangaa Waheed uspojibu inakuwa kama deni vile yani ni kero kwa kweli..............mtu hawezi kujua wala kufkiri labda huyu mtu amebanwa may be walaaa,inakera kwa kweli.
 
Asante..nimejaribu nimekwama.nilitaka kutuma screen capture huku nikashindwa..naituma kule naomba please
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…