Tshansimba Mubadi
New Member
- Aug 28, 2021
- 1
- 4
mhhhh...., em fanya utafiki kwanza.Mimi ni mfanyabiashara mdogo nayetumia zaidi WhatsApp Kama njia ya kupata wateja wapya kila siku, ila tangu Hii Sheria mpya iingie inayokataza kuwatumia Txt watu wapya ambao hawajasave namba yako imekuwa changamoto Sana, ukifanya hvyo tu unafungiwa...
Naomba msaada kama Kuna njia naweza kutumia kutext watu wapya bila kufungiwa
Natanguliza Shukrani[emoji120]
Ndo ile nikusave nani ndugu yangu au?😂Mimi ni mfanyabiashara mdogo nayetumia zaidi WhatsApp Kama njia ya kupata wateja wapya kila siku, ila tangu Hii Sheria mpya iingie inayokataza kuwatumia Txt watu wapya ambao hawajasave namba yako imekuwa changamoto Sana, ukifanya hvyo tu unafungiwa...
Naomba msaada kama Kuna njia naweza kutumia kutext watu wapya bila kufungiwa
Natanguliza Shukrani[emoji120]
Hata mm mwenyewe natumia gb whatsapp sasa imegoma haifunguki naambiwa imekwisha toka 6 Dec 21.Mimi ni mfanyabiashara mdogo nayetumia zaidi WhatsApp Kama njia ya kupata wateja wapya kila siku, ila tangu Hii Sheria mpya iingie inayokataza kuwatumia Txt watu wapya ambao hawajasave namba yako imekuwa changamoto Sana, ukifanya hvyo tu unafungiwa...
Naomba msaada kama Kuna njia naweza kutumia kutext watu wapya bila kufungiwa
Natanguliza Shukrani[emoji120]
Ndo ile nikusave nani ndugu yangu au?[emoji23]
Anyway ukitaka ku forward texts kwenye namba ambazo hujasave .. zima data kwanza, text wote unaotaka ujumbe uwafikie then baada ya kumaliza ndo uwashe data utoke online.. hapo huwezi kula ban
Kwanini mkuu😂😂meta imeamua kukuachia watsapp,umeshindikana mwanamke.View attachment 2038652
Kwanini mkuu[emoji23][emoji23]
KENZY njoo unijibie nimejuaje😂yaani ulikuwa unafanya nini mpaka ukajua yote hayo[emoji28]
Utundu tu😂yaani ulikuwa unafanya nini mpaka ukajua yote hayo[emoji28]
Kwenda bhana weee😂😂Mi mwenyewe umenishinda tabia😀
Nisiseme ukweli Sasa..😂Kwenda bhana weee😂😂
Eh yaishe bhana uslete haya mambo hum tukaumbuka😂😂Nisiseme ukweli Sasa..😂
🤣Eh yaishe bhana uslete haya mambo hum tukaumbuka😂😂