Whatsapp Ban got medicine

Sasa mwana tech gani anaogopa risk? ww utakua basi hata software za ku crack hutumii.
By the way sio lazma mtu uweke plus una weza baki na official vile vile.

Nilikuwa naongelea unnofial versions tu, official sina shida nayo na ninatumia.
Software za kukrack sipendi kutumia kwa sababu ni wizi wa kazi za watu, sipendi wizi.
 
WhatsApp Reborn 0.10 Base 2.11.378 Anti Ban ROOT NEEDED (Enabling Seeing Others' Last Seen in Offline Mode)
Note: Dont install this version if you dont care about seeing others' last seen
http://dl.osmdroid.net/8p
 
habari mbona nikidownload hiyo application naambiwa number yangu iko banned tafadhali naomba kuelekezwazaidi
 
Nilikuwa naongelea unnofial versions tu, official sina shida nayo na ninatumia.
Software za kukrack sipendi kutumia kwa sababu ni wizi wa kazi za watu, sipendi wizi.

WhatsApp plus ina maajabu sana, utakuta unamtumia mtu text ye kaweka tick off, kwahiyo unaona kama haijawa delivered...

Na ajabu ni kwamba uliyemtumia hiyo text unaona haijawa delivered afu unamwona amechange profile picture yaani alikua online.. Sasa hiki kitendo tunaita ni dharau na utoto, na kwakimombo its shows immaturity.
Mbaya zaidi mtoto wakiume anaweka hii option ili asiwe anajibu text.
 
Haiwezi kuondoa ban, kama ulishapigwa ban inabidi usubiri tu iishe, pia hakuna uhakika kama WhatsApp hawataweza kudetect na hii mpya na kuanza kugawa bans nyingine.
 
Haiwezi kuondoa ban, kama ulishapigwa ban inabidi usubiri tu iishe, pia hakuna uhakika kama WhatsApp hawataweza kudetect na hii mpya na kuanza kugawa bans nyingine.

Sure hii ina prevent ban..kam yupo kwnye ban basi asubir mpka muda uishe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…