Tupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision?