Whats yo favourable Mobile games?

Whats yo favourable Mobile games?

Low Gravity Racer HD ambayo ina 3D kama una zile miwani za bluu na nyekundu, Infinity Blade na Asphalt 6. Real Racing HD kwenye iOS 5 inakubali dual screen na TV, yaani iPad au iPhone inabaki kuwa ni controller tu. Hizi zote ni kwenye iOS Devices (iPhone, iPad na iPod Touch) Kama unataka kujaribu iOS 5 nenda kwenye makala hii soma mpaka mwisho. Gajetek - Gajet na Teknolojia: Uchambuzi Wetu: iOS 5 Baada ya Kuitumia

mkuu IOS 5 mbona bado haijatoka, tupo kwenye 4.3.3......!!!
 
Back
Top Bottom