nimechelewa kuufuatilia mjadala huu, ila lazima niseme wote waliochangia na mtoa uzi aliehitimisha kwa kukubali jibu ni VILAZA. Nimejaribu kuiangalia picha sioni hivyo vidole 6! Vinavyoonekana ni vidole 5 tu, labda kasoro ni hiyo aina ya vidole kwani kidole gumba kinakosekana, na anakidole cha shahada cha ziada!
Kama kutokuoneka kwa kidole kunafanya tuseme ana vidole sita basi hata aliesema ana sikio moja au hana miguu nae yuko sahihi!
Tujifunze kuwa critical haya majibu rahisi rahisi ndio mwisho wa siku yanaweza kutupatia Katiba mbovu.