What's-up BOT & TPDC?

What's-up BOT & TPDC?

Joined
Jan 16, 2014
Posts
63
Reaction score
11
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kinachoendelea na hawa watu (BOT na TPDC) kwa nafasi za kazi walizotoa. Au tiyari watu walishaanza na kazi? I need your help please wadau.
 
Much expectation is Distress. Take care
 
we kaka bado una moyo wa kusubiri... hii ndo bongo, fanya aplication leo baada ya mwezi ukiona kimya fanya hivi..:flypig:
 
Back
Top Bottom