Whats app vs BBM.. Start voting!

Bbm ya kizamani sana iko zaid maeneo nanhii...
Mara utume PIN aaagh ndio uwe connected
 
Yani bbm naifananisha na mambo ya P.O BOX
 
BBM is more private and I love that mtu lazima akurequest sio kama whatsAp akipata namba yako tuu tayari anaweza kukutext mpaka uanze kumblock...pia swala la dp na status kwenye bbm ndo limekaa poa zaidi kwa wale wapenda maudaku na show off status za BBM zinahusu sana...on the otherside WhatsAp ni userfriendly ukicompare na bbm, I love WhatsAp more(nimeizoea zaidi) ila credit naipa BBM kwa thread hii...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 

Mmmh! By the way its ur perception
 
Nadhani within the first week bbm kua introduced kwenye iOS na android the number of downloads inatosha kuelezea which is which. Watu wanaidiss bbm ila wanaikubali kiaina.
 
Now BBM iko kwenye android market so ujue simu za android ni more cheap than others expect more people to join BBM now just for three or for weeks in android already 10mill people have download it watch out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…