Mkuu wewe ndio umeharibu kabisa bora wa kwanza....
Kwahio Mkuu tungeweza kusema..
Unadhani anafanya nini ?,
What do you think she is doing ? (au sababu alishatenda na hili tukio ni kwenye picha tungeweza kuuliza)
Unadhani alikuwa anafanya nini ?
What do you think she was doing ? (nadhani ndio perfect kabisa as tukio limeshatendeka na hii sio live wala sio streaming)
ni hayo tu mkuu...