Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Sitaki kukumalizia uhondo cheki hii
1.
Na nyingine hii
2.
3. Episode hii ndo nimeshindwa kuielewa dah.
Utaelewa kuwa wenzetu wanajua shida ndio maana wakipata upenyo hawazubai. Sisi watanzania hatujawai kuwana shida ndio maana tu waoga waoga na hatutake risk.
Nimependa hiyo ya makoko slums. Venice version of Nigeria. Jinsi watu wanapambana na mazingira na challenges sorrounding them. yaani nyumba za mabo zinajengwa juu ya maji.
WELCOME to LAGOS
Zipo episode tatu na zote zina mundelezo zaidi ya hii niliyoweka hapa. unaweza kuzifuata youtube upate picha kamili.

Last edited by a moderator: