CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Inaonesha una uzoefu wa kutosha na watu wa aina hii....
asiejua kupika waweza mfundisha,ila hzo tabia zingne noma hazibadiliki BAK
...Baadhi wanafundishika Charminggirl...wengine hata walimu wajitahidi vipi upishi umewapitia kushoto.
Kinda like someone eating a banana and making that sloshing, insane sound right next to your ear. Bwahaaahaahaa!
Aah! Upishi siku hizi tunajifunzia kwenye mtandao na tv! Hivi kuna mtu anashindwa kusoma 'chekecha 50g za unga wa ngano na kijiko 1 cha baking powder' afu ashindwe kufyatua msosi? Mtu mchafu habadiliki bana, akhuu! Na asiejua kupika mtakula hotel ama kula 'michemsho', sasa mchafu mtaishi gesti?
Mwanafunzi kuchelewa kukusanya assignment halafu anasema kazi ililiwa na virus.
hehehehe wengine hatupendi kula hotel bana!!!! hotel hakuna ugali na kisamvu cha nazi na pembeni dagaa za kukaanga na mawese...nimewaona kwa macho yangu waliofundishwa kupika na wakashindikana.....na chakula wanachopika hata machoni hakivutii.
Mh! Hata siamini! Sasa kupika dagaa za mawese mwenyewe ukaweka frijini ukapasha kwa raha kila ukitaka. Tatizo la mtu mchafu hata ukisafisha yeye atachafua manake haoni tofauti! Aisee hapa utanipa mji!
....Kuna raha yake kupikiwa banaaa....si umesikia siku hizi njembas zimeongezeka sifa ya wachumba watarajiwa!? wanataka ajuaye kukaangiza pia....kuanzia mahanjumati mpaka biriyani vinginevyo imekula kwake!!!
Mweh! High time niji-promote kipaji changu basi, manake hata kwa kusimuliwa saluni tu nikifika ntafyatua pishi!
Ila kama mtu alifundishwa kusoma na kuandika akaweza, akitaka kujifunza kupika anaweza aisee!
Nipe mji asiee BAK, hata Chinangali tu nikawe neighbour wa le mutuz! Usafi is about small small stuff, kufundisha minimum ni 10 yrs of consecutive living and sharing, gggrrrhhh!
Hahahahaa...pole sana ticha..wanafunz kwa sound ndo mwake,kuna wale wazee wa deadline..
Mimi nakerwa na mwanamke mwenye gubu.
Mimi nakerwa na mwanamke mwenye gubu.