donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
heheheh, damn ryt!kwi kwi kwi kumbe ndio maana kuna mtu alianzishaga topic kwamba wanawake wa mitandaoni sio wives material kumbe ni kwa sababu tunajua mambo yenu mengi na maujuzi mnayopeana humu!!! haya tiririkeni hapa.
kwi kwi kwi kumbe ndio maana kuna mtu alianzishaga topic kwamba wanawake wa mitandaoni sio wives material kumbe ni kwa sababu tunajua mambo yenu mengi na maujuzi mnayopeana humu!!! haya tiririkeni hapa.
FIRST mnaongea pamoja what to do for fun.
THEN SIKU IKIFIKA
MFATE ALIPO AMA MTAKAPOMEET,MHUG JUS FRIENDLY HUG!
MVUTIE KITI AKAE,
*DONT TALK ABOUT SEX.*
DRESS CASUAL SMART...
EAT WHAT U CAN AND BEHAVE,JUS BE GENTLE..
MAKE SURE MNAONDOKA MNACHEKA KWA FURAHA..!
ASK FOR A SECOND DATE.
MSINDIKIZE HADI KWAKE,MFUNGULIE MLANGO WA GARI,HAKIKISHA AMEINGIA NDANI.
UKIFIKA MCALL ANAENDELEAJE..THEN KAMA KUNA KITU MLIPIGA STORY MKACHEKA,MKUMBUSHE MCHEKE WOTE.
USIMTEXT KILA SAA KILA SAA ATAONA UMESHOBOKA, JIPE MUDA NAWE..POZI FLANI KWA MBAALI..ILA SIO SANA.. LOL
mbinu za mapambano zinapatikana kwenye uwanja wa mapambano
daah mkuu this is a veree nice tutorial. nimejifunza kitu flani, daah kweli yataka moyo sa sijui ntamchekesha na nini!FIRST mnaongea pamoja what to do for fun.
THEN SIKU IKIFIKA
MFATE ALIPO AMA MTAKAPOMEET,MHUG JUS FRIENDLY HUG!
MVUTIE KITI AKAE,
*DONT TALK ABOUT SEX.*
DRESS CASUAL SMART...
EAT WHAT U CAN AND BEHAVE,JUS BE GENTLE..
MAKE SURE MNAONDOKA MNACHEKA KWA FURAHA..!
ASK FOR A SECOND DATE.
MSINDIKIZE HADI KWAKE,MFUNGULIE MLANGO WA GARI,HAKIKISHA AMEINGIA NDANI.
UKIFIKA MCALL ANAENDELEAJE..THEN KAMA KUNA KITU MLIPIGA STORY MKACHEKA,MKUMBUSHE MCHEKE WOTE.
USIMTEXT KILA SAA KILA SAA ATAONA UMESHOBOKA, JIPE MUDA NAWE..POZI FLANI KWA MBAALI..ILA SIO SANA.. LOL
hahaha!Mie naona you are all beating about the bush. Jump on it mengine baadae. Lols.
Mtazame usoni kisha muulize bila kupepesa macho kama yuko singo au dabo!
i started wit u madam nione kama ushauri wako unafanya kazi..
talk about a movie..talk about anything hata story za shule lol...za utoto mulizedaah mkuu this is a veree nice tutorial. nimejifunza kitu flani, daah kweli yataka moyo sa sijui ntamchekesha na nini!
hahahaha ohh yeaaah!talk about a movie..talk about anything hata story za shule lol...za utoto mulize
hahaha u watch that program too?hahaha umenikumbusha kipindi cha blind date cha KTN
Unapesa? Usisahau kulipa tips?.Pay for the food Kama wewe mwanaume,Relax usivae suruali ya njano,pink na Mkanda mweupe au Viatu vyeupe.Usijiongelee oh Mie Mie Mie .Usiende na kicheche usafiri Halafu relax .wabongo mnamchezo wakupaka cologne Mpaka its irritating .Loose weight wanaume wanene wanatia kichefuchefu pleaseee.Turn off your cellular phone .Relax enjoy ,Hamna kumchungulia Kama ana ------ hiyo ni dalili ya umalaya.Unalo hiloRegards wakuu MMU,
there comes a time ambapo baada ya kuzunguka huku na kule finally unajikuta moyo wako umetua kwa mtu mmoja ambaye umetokea kumpenda kwa dhati and God willingly unawish one day mtu huyo aweze kuja kua life time partner. Mi naomba kuuliza, kwa serious first time date, ni tips gani unaweza ukampa mtu? like dressing code, the place to take her, kind of food, what to talk about, manners, and how to convince her just on first date lakini mpaka akaelewa kwamba uko serious na unachofanya na you are there to stay. is it necessary to order expensive whine/ champagne ? assuming kwamba i know nothing about dates, please share with me some of the tips which can make my date be something spectacular and fun hata ye mwenyewe aweze kuenjoy that moment.
Regards,
Don Lucchese.