What should we do to thez ppo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What should we do to thez ppo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by socrates jr, Feb 20, 2011.

 1. socrates jr

  socrates jr Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Hivi jaman hata kama viongozi wetu wametuchoka, kwanini tuwaruhusu waendelee kuchezea akili zetu as if tumekuwa punguwani ama vichaa fulani wasio na tumaini la kupata tiba. Wakati wa mabomu ya Mbagala Dr. Mwinyi alisema tukio kama hilo halito jitokeza tena: lakini tumeshuhudia kilichotokea G/mboto.
  Ngereja naye akatuambia tatizo la umeme sasa litakuwa historia lakini siku mbili baadae TANESCO wakatutangazia kuongezeka kwa makali ya mgao wa umeme.
  Eti naye Pinda akalitangazia taifa watanzania watatu(3) wamefariki katika uonevu wa polisi huko Arusha kumbe ni wawili na mkenya mmoja.
  Cha ajabu na chakushangaza zaidi JK anakana kutowafahamu Dowans/Richmond.
  What should we d now?
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Karibu JF socrates, nothing we can do, we are Tanzanians, a peaceful country, lets them enjoy their next 5 years in power. Tumwachie Mungu tu.

  Watanzania tunaongea sana, tunalaani sana, tunatukana sana, lakini hatuna ubavu wa actions. This is Tanzania, the rich country with very poor people enjoying their poverty by continuing electing CCM. I am tired, closing my eyes, mgomo baridi till the end of this JK regime, ni kula mshahara na kufanya mambo yangu period.
   
Loading...