Khaaa! Haya na wewe nani kakuita huku?Mambo ya wanawake haya wewe unakimbilia
Yaani ulivosema "Heavy Flow" basi nikawaza ile flow ambayo ni heavy, af nzito yaani.Uliwaza nini mkuu?
πΉπΉπΉπΉMassive rainfall
#TusilifanyiehapapanamambomazitoKhaaa! Haya na wewe nani kakuita huku?
#Mtanililebifundonilimeanza. π€£
Kumbe ni wewe?Nyoo nakula mara moja daily!
Ndio maana wewe ni kibonge kilo 70 umekuwa GoliathWe si umeniambia nipunguze kula au?
62 inatosha bongeKumbe natakiwa niwe na kilo 20π
Kwa kweyi. π€£#Tusilifanyiehapapanamambomazito