hapo kuna utata kila mtu anamatumizi yake na vipendeleo vya software fulani. lakini ukisema kitu ambacho kinahitajika mimi nilikuwa nshaomba Windows OS, na MS office hata kabla sijasoma contet za huu uzi kuwa isiwwe WIndows OS au MS Iffice na wenzao...