Hili swala linasumbua sana jamii ya watu weusi sasa hivi hapa us..kwa sababu mambo yanabadilika..wanaume(black americans) walioenda shule na wenye mafanikio wanaoa wazungu na wapanish kwa kasi..kwa sababu wazungu wametulia na wanajua maana ya ndoa na kumuheshimu mme...wanawake weusi(African American) wanaachwa wanaangaika..
Statistics zinaonesha 70% waliofikisha umri wa kuolewa wapo single(na wengi ni single mothers)..na sababu kubwa ni kwamba ni zile hood rat and rachet behaviours wanawaake wengi weusi walizo nazo kama kuwa argumentative, kupenda-drama(madrama quen), kujichubu na kuvaa manywele banda, kujichora matatuu, kupenda kufuta mkumbo na kuiga macelebity ambao ni destructive kwa jamii kama nikii minaj, beyonce nk ...kupenda kuzaa ovyo hasa nje ya ndoa...sasa hivi ni swala lenye discusson kubwa sana..ni shida kwenye jamii ya watu weusi