What is this ?

Ni travel documents ambayo wanapewa wafanyakazi wa baadhi ya taasisi kubwa.
Kwa hiyo ni kama National passport
 
Ni travel documents ambayo wanapewa wafanyakazi wa baadhi ya taasisi kubwa.
Kwa hiyo ni kama National passport
kwaiyo Ile ya nchi anayotoka wanaiweka pembeni mpaka atakapmalizana na ilo shirika au inakuwaje
 
kwaiyo Ile ya nchi anayotoka wanaiweka pembeni mpaka atakapmalizana na ilo shirika au inakuwaje
IMF WB na WHO ni baadhi ya wanaopewa hizo passport ukimaliza kazi kwao unairudisha na unatumia ya nchi yako.
Hii ni kama wanayopewa diplomatic kasoro rangi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…