wananchi tumefeli...................tumeshindwa kuchagua viongozi bora
is it our nature. and therefore no way
Sidhani kama ni nature yetu ila leadership hakuna, na hii inatokana na mifumo tunayotumia ambayo mingi ni ya kuiga, copy and paste. Ubinafsi umetawala kupita kiasi.
Hivyo ndivyo tulivyo waafrika tulio wengi, hata kama atapewa madaraka mtu gani, sjui tumeumbwa hvyo?
mkuu je hoja ni viongozi wabadilike au waafrika wabadilike?. wamejaa humu watu wenye elimu, pesa na nyeo vyao. kila mmoja anajua ni vipi alivyopata utajiri wake.Je ni kweli wamepada utajiri kwa njia ya hard working, ubunifu, uaminifu kwenye matumizi, saving and investing? Manake ndo njia halali za kupata utajiri. Tukiendelea hivi kwa kuchuma/kuvuna bila kupanda tutafika? Manake ng'ombe ataishiwa maziwa one day. i'm worried!Nchi za kiafrica zimekuwa failure.
Wananchi waluio wengi wanazidi kuwa maskini huku watawala wachache wakineemeka.
Wananchi na sio viongozi wanatakiwa kulaumiwa kwa haya. Sisi wenyewe ndio tunaotakiwa tujikomboe. Tukatae kunyonywa kwa raslimali zetu na watawala wachache. Lazima tusimame na kusame tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, na tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Hivyo basi tunahitaji kuanzisha mapambano ya kujikomboa. There are two options: balot box and armed struggle. Je ni watu gani wa kuongoza mapambano dhidhi ya watawala wetu? je ni wasoni wetu? au wamegeuka kuwa vikaragosi vya watawala wetu? Ni mimi na wewe tulio na jukumu la kuwa wanamapinduzi kuonyesha kuwa waafrica wanaweza. Vinginevyo tukubaliane na yule mwanasayansi aliyesema akili ya mwaafrika ni finyu ukilinganisha najamii nyingine na kuwa hatuwezi kujiletea maendeleo yetu wenyewe
AFRICA,particulaly TANZANIA we dont need time frame,tunachohitaji ni watu wenye nia moja,juhudi na malengo madhubuti,watakao kuwa tayari kusimama kwa ajili ya kutetea maendeleo yatakayo ambatana na mgawanyo wa haki wa rasilimali.Tanzania imejaza viongozi selfish,wasiojua nia ya Tanzania wasio na maadili na uzalendo,Tanzania imejaza pia watanzania mambumbumbu wanaotazama lakini hawaoni,wanaoendelea kukumbatia uozo.Its high time kwa mabadiliko,tuanze kuchukua hatua na kuwazindua wengine.Tunarasilimali za kutosha na tunaweza,TUNACHOHITAJI NI MABADILIKO,KULETA MAGEUZI YA KISIASA NA KUWAELIMISHA WENZETU NA KUWAONYESHA TUNAWEZA,KUBWA KUPINGANA NA SERA MBOVU ZINAZOUNDWA KILA LEO NA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUJITAMBUA KWAMBA KILA MMOJA WETU ANAWEZA KUWA NA UCHUMI BORA BILA KUTEGEMEA SERIKALI NDO IMSAIDIE,KWAMBA SERIKALI NDO YENYE JUKUMU LA KILA KITU BALI TUGEUKE NA TUJITEGEMEE WENYEWE.wachina wamesema wanahitaji miaka 100 kuanzia sasa ili wawe superpower na ikiwezekana waipuku marekani. Je Africa na Tanzania in particular tunahitaji miaka mingapi ili tujitosheleze kwa chakula? bidhaa za viwandani? then tecknology?
AFRICA,particulaly TANZANIA we dont need time frame,tunachohitaji ni watu wenye nia moja,juhudi na malengo madhubuti,watakao kuwa tayari kusimama kwa ajili ya kutetea maendeleo yatakayo ambatana na mgawanyo wa haki wa rasilimali.Tanzania imejaza viongozi selfish,wasiojua nia ya Tanzania wasio na maadili na uzalendo,Tanzania imejaza pia watanzania mambumbumbu wanaotazama lakini hawaoni,wanaoendelea kukumbatia uozo.Its high time kwa mabadiliko,tuanze kuchukua hatua na kuwazindua wengine.Tunarasilimali za kutosha na tunaweza,TUNACHOHITAJI NI MABADILIKO,KULETA MAGEUZI YA KISIASA NA KUWAELIMISHA WENZETU NA KUWAONYESHA TUNAWEZA,KUBWA KUPINGANA NA SERA MBOVU ZINAZOUNDWA KILA LEO NA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUJITAMBUA KWAMBA KILA MMOJA WETU ANAWEZA KUWA NA UCHUMI BORA BILA KUTEGEMEA SERIKALI NDO IMSAIDIE,KWAMBA SERIKALI NDO YENYE JUKUMU LA KILA KITU BALI TUGEUKE NA TUJITEGEMEE WENYEWE.