Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,175 Oct 15, 2012 #21 Kazaliwa na anapeta tu Ila ukikaa ukatafakari sana, hakuna kitu 'material' kikubwa unaweza mpa mtu labda saaaaana 'honesty and sincerity' Ndio maana nikasema sioni kikubwa nilichowahi toa. St. Paka Mweusi said: Hajazaliwa bado,samahani....... Click to expand...
Kazaliwa na anapeta tu Ila ukikaa ukatafakari sana, hakuna kitu 'material' kikubwa unaweza mpa mtu labda saaaaana 'honesty and sincerity' Ndio maana nikasema sioni kikubwa nilichowahi toa. St. Paka Mweusi said: Hajazaliwa bado,samahani....... Click to expand...
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,608 52,339 Oct 15, 2012 #22 Mbona husemi nilivyokupaga nyumba. Bishanga said: kumvunja usichana wake,chezeiya bishanga! Click to expand...
Mbona husemi nilivyokupaga nyumba. Bishanga said: kumvunja usichana wake,chezeiya bishanga! Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,175 Oct 15, 2012 #23 Mmmh, akyamama wewe nakufuata PM Kuna kitu hapa ?????????? Umejuaje mie virgin?? na wakati ni siri kuu? Bishanga said: king,vipi humu chitchat wamo? Jungukuu linasema Kongosho hajawahi guswa. Click to expand...
Mmmh, akyamama wewe nakufuata PM Kuna kitu hapa ?????????? Umejuaje mie virgin?? na wakati ni siri kuu? Bishanga said: king,vipi humu chitchat wamo? Jungukuu linasema Kongosho hajawahi guswa. Click to expand...
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Oct 15, 2012 #25 Mi nilimpa zawadi nyingi sana, lakini alichofurahia hajasahau mpaka leo ni lolpop