What is so special about BB internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What is so special about BB internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, Oct 21, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wadau najiuliza hivi kuna kipi hasa cha kufanya lazima upeleke simu kwa Service Provider wako ili akuunganishe uweze kutumia internet kwa simu za Blackberry?
  Na hii itakulazimu ujiunge na bundle zao ambazo ni bei sana kwa matumizi ya simu
  Mfano VODACOM

  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Subscription
  [/TD]
  [TD] Retail Tariff (TSH)
  [/TD]
  [TD] To buy, sms keyword to 15300

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] BIS 7 days
  [/TD]
  [TD] 12,000
  [/TD]
  [TD] BB7
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] BIS 30 days
  [/TD]
  [TD] 30,000
  [/TD]
  [TD] BB30
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] BIS 90 days
  [/TD]
  [TD] 82,500
  [/TD]
  [TD] BB90
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] BIS 180 days
  [/TD]
  [TD] 150,000
  [/TD]
  [TD] BB180

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  ina maana hakuna njia nyingine unaweza fanya ukafurahia net kama watumiaji wengine wa simu pay as you go, au ukatumia bundle kama cheka internet, au ile ya airtel mb400 kwa 2500?
   
Loading...