Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Chairman of AU
hujielewi, you are just lucky to have access to internet.Picha ulete wewe,maelezo tukupe sisi
na Nguema?Mwenyekiti wa AU
Behind MBS is Macky Sall..... Senegalese president. He's there as a Chairman of The New Partnership for Africa's Development ( NEPAD)
Nayeye nadhani aliwahi kuwa mwenyekiti wa AU miaka ya 2011 au 2012,kwa nafasi yakuwepo ktk hii picha sijajua,labda vile ndie kwasasa Rais wa Africa aliye Kaa madarakani muda mrefu sana nadhani tangu 1977na Nguema?
Behind MBS is Macky Sall..... Senegalese president. He's there as a Chairman of The New Partnership for Africa's Development ( NEPAD)
Alitwaa madaraka August, 1979 kwa kumuua mjomba wake na hadi leo angali madarakani labda anaamini ikulu tu ndio kuna "Oxygen".Nayeye nadhani aliwahi kuwa mwenyekiti wa AU miaka ya 2011 au 2012,kwa nafasi yakuwepo ktk hii picha sijajua,labda vile ndie kwasasa Rais wa Africa aliye Kaa madarakani muda mrefu sana nadhani tangu 1977
Mbongo mpe picha tuu maelezo atatoa mwenyewe.Picha ulete wewe,maelezo tukupe sisi
Kumbe tunapewaheshima sana, mbona sasa hawaja mualika huyu nani huyuuu aah nanitena huyu, nimemsahau kidogo ngoja nimkumbuke.ni mgeni mwalikwa ... JK ameshawahi kualikwa pia mwaka 2009 check picha hapo chini
View attachment 952493