Bongo Lala
Member
- Apr 21, 2008
- 30
- 0
Magazeti ya bongo si ni ya usalama wa taifa...
Kwaki wee ni mgeni hapa?
Watakuwa na solidarity gani wakati wanajua ndo kipindi cha kuuza baada ya competition kushuka!..huh!
kwa kweli ni kipindi cha kuuza.
jana taarifa ya habari ya itv saa 2 usiku walionyesha clip moja sijui kipindi gani cha Sudi mnete (tbc) akimhoji mwanasheria Philemon kuhusu maoni yake juu ya kufungiwa 'Kulikoni' akajibu serikali imefanya vizuri kabisa 'lakini' sijaisoma hiyo habari iliyofanya wafungiwe....
jamani hujaisoma habari hivyo ni dhahiri hujui upande wa pili wa story sasa unahitimishaje kuwa serikali was right....
Yule mwanasheria aliyeletwa pale TBC1 siku ile ni feki kabisa, anaonyesha wazi kwamba alichezwa ili aongee yale maneno.
Hakuwa na confidence ya LAWYERS ninyoifahamu, he was just a bogus stooge-thing.
Unahitaji kuwa mwendawazimu ili kusupport media ya bongo.Unproffessional doings,rubbish,exploitation,low wages,no NSSF payment to the employees.Trust them?