data,
Nadhan wanalipwa. Ukitaka kuwa successful Tanzania lazima uendeshwe kama remote. Matajiri wote migodini ni CCM, tena hadi wanajenga vituo vya police bure!
Labda kwa ajili mimi sio tajiri. Nina documents zote sahihi za serikali sipelekeshwi aisee! Huyu Nandy anatumika!
Nadhan wanalipwa!ukitaka kuwa successful Tanzania lazima uendeshwe km remote!..matajiri wote migodini ni ccm...tena had wanajenga vituo vya police bure!.labda kwaajili mm sio tajiri .nna documents zote sahihi za serikali sipelekeshwi aisee!huyu Nandy anatumika!
Tayari kishapotea kwenye game huyo, msanii ukishaingia kwenye siasa hasa za Afrika kazi shila. Haitakuwa na jipya tena binti mdogo kama yeye kujichanganya kayumba mwanzo mwisho mtaja nambia.
Tayari kishapotea kwenye game huyo,msanii ukishaingia kwenye siasa hasa za afrika kazi shila ...haitakuwa na jipya tena binti mdogo kama yy kujichanganya kayumba mwanzo mwisho mtaja nambia.
Wanawake huwa na Desturi ya Kusimuliana ni Mwanaume gani huwa anagawa sana Pesa au anajua Kutunza ili nao wajitupe wakajaribu bahati. Yawezena huyu Binti labda nae ana Ushosti na Wakubwa zake wa Uwekezaji, Kisarawe Shambani bila Kumsahau na wa Bamaga mkabala na TSN Petro Station pamoja na wa Afya za Wanadamu nchini.
Hizi Ni Zama za wasio na akili kumsujudia, kumuabudu na kumsifu kijimungu mtu.
Wanamsifu kwa nyimbo na mapambio. Wanamsifu kwa sauti za vinywa vyao lakini sio kwa mioyo yao. Mioyo yao inaumia na inazisoma namba