What is freemansory?

staki kubishana ataleta majibu mwenyewe akipenda...sio kila kinachoandikwa google kuhusu kitu fulani basi kina ukweli asilimia mia...acha umaandazi,,funguka akili dogo
 
Mkuu hapa si tunaongelea Freemasons? Shetani inaingiaje hapo tena? Kuna connection gani kati yake?
 
Kwa nini unatamani?
Ni sehemu yenye watu makini sana pia ni mahali unapoweza kufikia malengo makubwa kupitia circle ya watu nyeti walipo humo.

Kingine napenda kutunza siri, ni mtu msiri sana. Nahisi patanifaa zaidi.
 
Hao jamaa wana Mungu wao tofauti? Well, mfano nikitaka kujiunga na nikakubaliwa maana yake kila jumapili nitaruhusiwa kudhururia misa kanisani?

Na pia nitaweza kuwa muaminifu na mtiifu kwa hiyo jamii huru kwa ku practice ibada na rituals zake pia?
 
Unahamasisha au.
 
eeh apa unataka tuanze ligi ama.?..tafta mwenyewe utajua
Ah ligi ya nini tena mkuu? Mimi nashawishika kujiunga(na uzuri umesema connection ipo) hivyo nataka nijiridhishe kwanza kidogo ndio nizamie huko.

Ila nataka niwe mwanachama wao nishiriki kila taratibu zao, huku jumapili pia nikiwa na utaratibu wangu wa kawaida wa kuhudhuria misa kanisani.
 
Hao jamaa wana Mungu wao tofauti? Well, mfano nikitaka kujiunga na nikakubaliwa maana yake kila jumapili nitaruhusiwa kudhururia misa kanisani?

Na pia nitaweza kuwa muaminifu na mtiifu kwa hiyo jamii huru kwa ku practice ibada na rituals zake pia?
According to wao (hapa sina uhakika) hawaingilii dini yako kwahio kama wewe ni mkristo unaweza kwenda kanisani kama kawa.
Maana actually wao sio dini
 
staki kubishana ataleta majibu mwenyewe akipenda...sio kila kinachoandikwa google kuhusu kitu fulani basi kina ukweli asilimia mia...acha umaandazi,,funguka akili dogo
Ndio maana nimekwambia ukijua sehemu ya kuangalia google utajua vitu vingi...
Maana kwa dunia ya 2019 vitabu karibia vyote unapata online ,kuna articles na kila kitu.

Sasa watu wenye akili kama wewe wanajua google ni Wikipedia tu...
Nenda kasome then uje uongee... kama hujasoma huna haki ya kuchangia maada
 
According to wao (hapa sina uhakika) hawaingilii dini yako kwahio kama wewe ni mkristo unaweza kwenda kanisani kama kawa.
Maana actually wao sio dini
Dah tuko kizani wote kumbe.

Hakuna anaejua kweli, na ndio inayotukosesha uhuru..katika mengi...katika kuamua, kufikiri na maisha kwa ujumla.

Je, ni kweli kuna ushetani ndani ya hiyo jamii kama mdau alivyodokeza hapo juu? Vipi ibada zao ushajua jinsi zinavyokuwa practised?
 
Unajua ushetani definition yake kila mtu ana namna anavyoielewa..
Kuna watu wanaona kusali ukiwa imezunguka mti kuomba mvua ni ushetani (wazee wetu wamesali sana hivi)

Wengine wanaona kutoa sadaka za damu ni ushetani.

Wengine wanaona hata wanaosali mbele ya sanamu ni ushetani....
Kwahio mimi sioni ushetani wowote ni jinsi watu wanavyotafsiri tu...
Pia kuhusu ibada zao hata ukiingia mtandaoni unaweza kusoma wanavyofanya...
 
Wanasema uamini katika higher power halafu at the same time hawatambui au hawaamini katika dini. Sasa utaamini vipi hiyo higher power bila dini au je hiyo higher power ni ya nani?
Siri ipo kwenye hiyo higher power
 
Huko mtandaoni hakuna la maana, ni maandishi ya watu tu kama sisi hapa. Kwamba wengine watumie yanayoandikwa hapa kama reference kuhusu in and out za Freemasons?
 
hawakukatazi...ukiingia unaendelea na dini yako kama kawa
 
Wanasema uamini katika higher power halafu at the same time hawatambui au hawaamini katika dini. Sasa utaamini vipi hiyo higher power bila dini au je hiyo higher power ni ya nani?
Siri ipo kwenye hiyo higher power
asante fundi..hyo higher power ni prince of the world,commander in chief(lucifer)...ukiingia mwanzo unaona poa..ila baadae mtu anajuta hahaaahaaaa
 
kwa akili hizi utakua mtoto wa musiba wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…