Kwa taarifa yako tu, kama hujui tafadhali leo tambua kuwa CDM ilianzishwa kama wakala wenye lengo la kuwanufaisha wachaga... kirefu chake ni Chaga Development Mission Agency... sasa tusishangae tukiona leo hii wanakumbatia ukanda na ukabila. Wengine waliopo hapo ni hadaa wao ndiyo origino...Hii ni kwa taarifa yako!