What is better than sex???

Kila jambo litakuwa zuri zaidi ya jingine kama litafanywa ipasavyo kwa wakati muafaka.
Huwezi kulinganisha sex na kula au kunywa au kuvuta sigara.sex ikifanywa na umpendaye kwenye mzingira mazuri ni zaidi ya kila utakachokuwa unakijua.sex ikilazimishwa tena na mtu usiyemtaka ni mbaya kuliko chochote kibaya ukijuacho.
 
The internet bana! kiboko yake, wala huwazii ile kitu ni kuchat tu
 
Mhhhh! hata tukifungwa? :coffee:

Kufungwa Arsenal ni kawaida,but nakubaliana nae kuwa inafurahisha kuwaangalia arsenal wakicheza,mi mwenyewe tangu asubuhi siku tuna mechi hasa zile kubwa concentration kwa ishu nyingine haipo,nawaza Nasri,Walcot,Sagna,Fabregas wakicheza,sex haina maana siku hiyo labda tukishashinda......lol:msela:
 
hahah, research nyingine bwana........... sex is a very tiny act in this life, there are so many things around which are better than that act........ imagine the heart of a kid who never had sex and ask how enjoyable his/her life is!........ only the wicked generation demand sexual intercourse above all others!...............
 
Hao hawajawahi "kufanywa" vizuri. Kuna watu mpaka huwa wanazimia! Hivi kweli unaweza kuzimia kwa utamu wa ku-vacuum au ku-loose weight?!
 
Uroda, uroda, jamani urooda, msifanye mzaha jamani!! Hakuna mfanowe. Hivi ninavyoandika, 'mjomba' nae kaamka zamaaaani!
 
Back
Top Bottom