Kichwa cha uzi huu ni kichina au kingereza? Au ndio div 5? Sielewi elewi! Maelezo machache bado mtu anakurupuka kuandika kama ingekuwa hotuba ingesomeka? Kweli elimu yetu imefariki!
Imesharuhusiwa kimyakimya bola tamko,sasa ni.mlango wa laana umefunguliwa ndani ya nchi yetu,watanzania bila kujali dini zetu,hebu tumuombe Mungu maana hukubtunapoelekea si pema