Wavivu wa kusoma utawajua tu!!! We umeambiwa kasome unaanza kujiteresha hapa. Kama una nia ya kutaka kujua c ukasome tu. Na Bible huwa ina nguvu c ajabu, Bila haya kuangaika sana unakutana na point za Topic husika zenye kukupa majibu yako. Bible ni kitabu KIKUBWA! Fikiria tu. Walioyaandika walikuwa na maono makubwa mno.