What if Diamond asingefungiwa nyimbo?

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,292
What if asingeongea lolote/kutoa tamko la wenzake kufungiwa..

Je Roma bado angefutiwa adhabu? Je tungekua tayari ‘kukaa’ na kuongea?

Hail Chibu! We are thankful. [HASHTAG]#Wasafi[/HASHTAG]
Tukubali tu kwa sasa jamaa ana nguvu ni ngumu kumshusha kwa sasa njia zikifunguka huwa mwanadamu kuzuia ni shida naonaga humu watu huchukulia simple tu mambo yake
 
Hatukatai njia imefunguka kwake,jee yule aliye nyuma yake anaempa kiburi unamzungumziaje?
 
Hatukatai njia imefunguka kwake,jee yule aliye nyuma yake anaempa kiburi unamzungumziaje?
Hakuna anaempa kibur ukijitambua siku zote yataongeleka kama hayo kuwa na uhakika na ufanyacho kazi yake imemfikisha hapo hamna mtu aliemsaidia kumkuza na kumpa kibur zaid ya juhud zake wako wap wakina q chilla kwamba walikuwa hawapendwi?
 
Dimond ni mpumbavu naibu waziri nae hovyo kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…