Wala usijali ndugu yangu, Tanzania inakosa ''kujitambua'' kwa vile hatujui lugha ipi tunaijua vizuri, mimi nikiamua kiswahili-twende kazi, mwingine kingereza-haya.....najua inatuumiza ila ni misingi tuliyowekewa na wenye nchi. HATA HATUJUI LUGHA GANI TUNAIJUA VIZURI.. hahaaaaaa. we changi a unavyoelewa, hamna atakayekucheka, wote tunajifunza