Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,712
- 107,153
Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.Visingizio vingine buana, eti shida ya sikio 😂 kwani akisema kazidiwa tutamcheka!!.
It's nice, vile Umekuwa MKWELI!Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.
Na hakuna mtu amewahi kimbia london marathon faster than him.. ana record ya 2.02.15 kama sikosei.. waleteni wahabeshi wenu woote hamtakaa mumfikie.. eti wanasema shura kitata kazaliwa 1996? Jameniii? Kwa sura chachu lile? Tusidanganyane, bora kipchoge anakubali ana umri wa miaka 35, yule ashura kitata lazima ana miaka zaidi ya 40, sio kwa makunyanzi yale.
Kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.
Na hakuna mtu amewahi kimbia london marathon faster than him.. ana record ya 2.02.15 kama sikosei.. waleteni wahabeshi wenu woote hamtakaa mumfikie.. eti wanasema shura kitata kazaliwa 1996? Jameniii? Kwa sura chachu lile? Tusidanganyane, bora kipchoge anakubali ana umri wa miaka 35, yule ashura kitata lazima ana miaka zaidi ya 40, sio kwa makunyanzi yale.
Kushinda marathon last year sio guarantee Kushinda next year... If ingekuwa ivo wanariadha wote wangeweza. Eliud kashindwa, tatizo mnaforce na kuamini ana uwezo kumbe kashindwa... Halafu alianza kuchemka above 30 km.. Yeye anasema sikio km 25.Aache Usanii. Akubali kushindwa.Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.
Na hakuna mtu amewahi kimbia london marathon faster than him.. ana record ya 2.02.15 kama sikosei.. waleteni wahabeshi wenu woote hamtakaa mumfikie.. eti wanasema shura kitata kazaliwa 1996? Jameniii? Kwa sura chachu lile? Tusidanganyane, bora kipchoge anakubali ana umri wa miaka 35, yule ashura kitata lazima ana miaka zaidi ya 40, sio kwa makunyanzi yale.
Eti 24 years?? Kweli? Niue kwanza ndio nitaaminiWewe ndio hovyo kabisa, kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa?. Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
huo ni wivu tu, we unayesema hivo hata nusu saa huwezi kukimbia ulimi nje kama mbwa mwizi halafu unamponda kipchonge.Wewe ndio hovyo kabisa, kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
Ameanza kushinda back to back mara ngapi, gap ya dk 1 ni ndogo sana bado ataleta changamoto kwenye riadha.Kushinda marathon last year sio guarantee Kushinda next year... If ingekuwa ivo wanariadha wote wangeweza... Eliud kashindwa ..tatizo mnaforce na kuamini ana uwezo kumbe kashindwa... Halafu alianza kuchemka above 30 km.. Yeye anasema sikio km 25.Aache Usanii.. Akubali kushindwa
Bakele alijitoa mapema alipoona ameumia hawezi kushiriki, ukiamua kushiriki ina maana upo vizuri, mbona aliposhinda tulimpongeza, sasa aneshindwa hutaki tuseme ukweli badala yake mnajaribu kutoa visingizio.huo ni wivu tu ,we unayesema hivo hata nusu saa huwezi kukimbia ulimi nje kama mbwa mwizi halafu unamponda kipchonge .
Hata kuumwa sikio ni daktari wake anajua na maumivu ni yeye anajua ,angezidiwa kwa dk 5 au 10 ingekuwa jambo la kushangaza ila kazidiwa dk 1 ukijumlisha na umri wake .Watu mna roho mbaya sana
Utadhani sikio ndo linakimbia😆😆😆Visingizio vingine buana, eti shida ya sikio 😂 kwani akisema kazidiwa tutamcheka!!.
Mtu ametoka kushinda world record haijaisha mwaka mmoja aje ashindwe kuwin kalondon marathon? Loose yenyewe ni ya dakika 1 na sekunde 15. The guy is still extraordinary.