Sio poa babuu...yaani ni hivi; ukimfanyia hivyo tuu jua umejiroga upyaaaa utalia tuu tena mbona kama kumpata yashampata ww unataka alieje kwani??? Huna haja ya kufanya hayo,tena kama ungemsaidia hata hela ya NIDO kwa mtoto ungebarikiwa sana,...KISASI ni juu ya MUNGU acha hayo mawazo mabaya kabisa.