What goes around comes around

MtamuMix

Senior Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
119
Reaction score
138
Some years back, kuna dada nilikuwa na mahusiano naye. Alikuja kunisumbua sana, mara kupiga mizinga isiyovumilika, yaani hana huruma, mara nyingi akinipigia simu hata nikiwa sehemu yenye kelele nisipopokea basi lazima iwe kesi ananizushia mara anatishia kuniacha, nisipojibu sms yake kwa wakati nayo ni kesi. The end of the story akiwa na rafiki zake akawa anawasimulia kuwa amenishika sichomoki... Sasa mwenzake akamrekodi bila yeye kujua, hiyo clip ikanifikia (in short wakachomeana). Niliumia sana siku hiyo, Nikaona isiwe tabu, nikaachana naye, nikaendelea na maisha yangu. Ili kunikomoa akaenda kudate na rafiki yangu, nikagundua ila sikutaka ajue kama najua. Na mpaka leo hajui.

Miaka mitatu baadaye, juzi tumekutana katika mazingira ambayo hakuna aliyetegemea. Tulishapoteza mawasiliano, kwenye mitandao ya kijamii nilishamdelete na kublock kabisa. Ila juzi tumekutana uso kwa uso. Amepigwa mimba amezaa ana mtoto na hajaolewa. Na mwenye mtoto kachapa lapa. Aliniomba namba, tukawasiliana kwa siku mbili hizi. ameniomba sana msamaha mpaka amelia. Kingine ni kwamba amepigika kiuchumi na malezi ya mtoto.... ukizingatia usawa huu wa uncle Magu. Hata vaa yake siyo, kapauka sura siyo. Sasa ngoma itanoga vizuri.... as you know, sina moyo kwa mwanamke tena....Moja namsamehe ili nipate gia ya kulipiza. Mbili, sifanyi naye chochote so far mpaka tukapime afya zetu. Na tatu nitamchakaza kwa siku chache baada ya hapo nabwaga, chozi lile nililolia mimi na yeye atalia.
 
Hahahaha,unawaza vizuri lakini bora ukampa adhabu ya kuniacha tu kuliko tena kumgegeda ukammwaga mkuu
 
Kwa ukimsamehe na kumpotezea bila kulipiza utapungukiwa nini!!?

Usifanye huo msemo wa kichwa cha uzi wako uendelee kwenye circle yenu, kumbuka umesema ana mtoto na mimba ss ukimliza yeye utaliza na watoto ambao hawana kosa...

"What goes around Comes around"
 

Hakuna haja ya kulipiza kisasi bro, kisasi ni chake Mungu: kisasi alishalipa Mungu ndio mana amekukutanisha nae ili uone kilichomtokea. Usijiingize katika kumuudhi mwenyezi Mungu. Kitu cha kumuumiza ni kutokuwa na mausiano tena. Acha kujibebesha dhambi ambazo una nafasi ya kuziepuka kwani unaweza kuja kujichumia ghadhabu ya Mwenyezi Mungu hapo baadae.
 
Jinga sana we we, unajisifia mauti? acha uzinzi na uokoke,
Unahisi mwisho wa siku utapewa cheti cha kufuzu zinaa zaidi ya hell?
Mungu bado ana haja name we,
Ole wake awazaye mabaya kisha akaenda kuyatenda.
By the way kati yako na yeye nani alimwacha mwenzie kut
 
Usilipize mkuu kama ni malipo ameshalipia kwa yale aliyokutendea. Msamehe uwe huru
 
Usilipize kisasi mkuu. Ndio mana ukaitwa mwanaume .. Wanaume tunaweza kuhimili mambo magumu magumu hata ya kimapenzi. Msaidie kama unaweza na kama huwezi mwambie tu huwezi aendelee na maisha yake. Kama Vipi utupe contact zake tumpe chochote aleee kiumbe kisicho na hatia. Life has no definition and it may take you to hell or to heaven depending on your response to other creatures. So tuwe makini na maamuzi yetu.
 
mkuu ile tu kukutana naye katika hali ya kuwa na mtoto na mwenye mtoto kuchapa lapa hiyo inatosha kabisa ila usirudiane naye coz ushamjua tabia yake
 
Kaka story yako inafanana na ya kwangu. Last relation ex alikuwa akinanyia vituko kama hivyo, aliniumiza sana yaani. Sana aliona tahira, by thrn sina kaz sina hela.
Alijua ameniumiza sana na amenikosea. Lakin hukata kuniomba msamaha, zaid ya kujisifu kwa wenzake.
Japo kaolewa majuz tu, karma imfikie huko aliko.
Imenichukua karibia mwaka nanusu kumsamehe.

Ila kwa ushu yako, huyo tayar ameshakutana na ile adhab kuu. Msamehe haina haja tena ya kumfanyia unyama
 
Let karma do her thing or it'll come back to you. Karma haichagui wewe au yeye. Nakwambia ukilipiza na wewe yatakurudi. Kumkataa tu ni adhabu tosha kwa hali aliyo nayo wanaume haturudii matapishi
Yes, acha karma ifanye kazi yake. Mpaka hapo atakuwa ameumia sana kukuona na jinsi yeye amechakaa moyo unamuuma sana.
 
Nilijua kuna kitu unaanndika kumbe unallipiza....wewe unaamini wapi wewe kama sio story tuu, achana na kisasi sasa nikuambie......mlipiza kisasi ndiye huwa anaumia kuliko unayefikir unammkomoa...kwahyo kisasi kinaumiza....nakuambia ukilipiza kisasi tunaweza kukukosa hapa duniani...na huo ndo ukweli...najua bado moyo unakuuma sana licha ya hoo amepigika.
Achana nae....mm mtu kama huyo ninngemsaidia kias cha fedha kama ngekuwa nacho afu namuambia nenda katubu utasamehewa yote uliyoyafanya, angekuona wa maana sana, kalipize kisasi uone utakavyoendewa kwa mganga na hutatoka tena, na unaonekana upo mbali na Mungu...wacha kisasi kasali huko.
 
Wewe ni moja kati ya binadamu wa ajabu sanaaa.
 
Haaaaaa me nlikutanaga na crush wangu tunachekaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…