Kuhusu kubabuliwa na mapenzi hapo "experience" n'nayo, naulizia kuifanya hii 'kazi' in a professional and modern way.Huitaji kusomea kozi yoyote mkuu. Ngoja maisha au mapenzi yakubabue babue, baada ya muda automatically utakuwa philosopher au motivational speaker
Kibongo bongo ukishaonekana kwenye TV mara mbili tatu, basi u can do anything. Maana utapata support.Kuhusu kubabuliwa na mapenzi hapo "experience" n'nayo, naulizia kuifanya hii 'kazi' in a professional and modern way.
Kuna njia yoyote yakutafuta kuwa presentable kwa watu ili uwatie kwakk au ni ukanjanja tu?
Ngoja nilifanyie kazi ili wazo mapema.Kibongo bongo ukishaonekana kwenye TV mara mbili tatu, basi u can do anything. Maana utapata support.
Sema kwako, tumia njia tofauti. Fungua accounts IG, TikTok na FB, follow watu kibao unaowafaham na usio wafanam. Anza kupost motivational words....
Poa poaNgoja nilifanyie kazi ili wazo mapema.
Haswa mapenzi ππππHuitaji kusomea kozi yoyote mkuu. Ngoja maisha au mapenzi yakubabue babue, baada ya muda automatically utakuwa philosopher au motivational speaker
Mkuu hongera kwa Uzi huu,Je, kama ninahitaji kuwa Motivational Speaker, ninahitaji kufanya nini? Hapa naulizia kama kuna kozi special au vitu vya kufanya.
==============
Salamu kwa watu wazima wote (kiumri), kwa wengine habari za saizi, kwa mashabiki wa Manchester United mjikande kwa maji ya Moto 7 sing'ori si mchezo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, katika mchakato wa kusaka ajira, nimeona ni bora niichangamkie hii Jamii iliyonizunguka na hapo nikapata wazo la kuwa Motivational Speaker.
Sikukurupuka kama baadhi ya watu wanaosoma thread hii watakavyowaza au kuchangia, baada ya kutafakari niliona nina vitu muhimu ambavyo nikivisogeza kwenye Jamii tunaweza kuinuka. Kwasasa Tanzania na nchi nyingi zilizopo katika Ulimwengu wa Tatu (Yaani Maskini wa ku-tupwa [emoji23]) watu wake wanakosa Elimu ambayo ni basic na ndio inayotakiwa kuwafikia raia hao ili kushtua bongo zao ili waache kumbwela kitaa.
Kijana barobaro anajiunga bundle la Wiki na kuingia TikTok akiwa anapepesa kope mbele ya kamera na kurusha makalio akisubiri comment kama hizi.
"Cute Dance" by LiliPopy
" [emoji3059]" by Optyga_official na takataka nyingine nyingi. Sasa kwa ichi kizazi nimeona nikiingia kwenye kuwa-motivate nitatoboa, ninaomba nipate mbinu za kuifanya hii kazi.
NB: Kabla ya kutoa reply, fikiri mara mbili kuhusu hii post, ikiwezekana iangalie kwenye 'angle' ambayo itakusaidia kujua dhamira halisi ya mwandishi wake.
Sent Using Tecno H5
Thanks for the reply.Mkuu hongera kwa Uzi huu,
Kitu cha kwanza ni NIA yako iendelee kukuongoza kufika mafanikio uyatakayo,
Kwa chochote ulichonacho na unaweza kukifundisha kwa mwingine unaweza ukaanza nacho.
Maarifa ya awali au basic ,ndio jambo hasa watu tunayakosa ili kufanikisha kufika tutakapo.
Tumia vema UGA wa mitandao ya kijamii ukianza na jukwaa letu pendwa la Jamii forums.
Uhitaji mambo meng zaidi ya kuandika au kuandaa maudhui yatakayomgusa mdau moja kwa moja.
Ili kuhamasisha wengine,Anza kwako kwa kuamini kile ulichoona ni changamoto kwa jamii kama ikifanya moja au mbili inaweza jikwamua toka hatua moja had nyingine.
Muda ni Sasa