Mhe McAmacy
Senior Member
- Oct 14, 2016
- 143
- 174
Something terribly wrong that happened ni wewe kugongeshwa kichwa sakafuni pindi tu ulipozaliwa.something terribly wrong must have happened
Hapa naona unaajificha kwenye kichaka na kukwepa hoja! Mtu kama wewe kulia kwetu kama hao watu wangekuja kungekusaidia nini?
Haya hawajaja na silii, sasa tujadili kwa nini hawapo?
Ukitaka haya ya huku kwetu fungua uzi tukujibu badala ya kuibua hoja mpya ili kudhoofisha hoja ya awali!
Something terribly wrong that happened ni wewe kugongeshwa kichwa sakafuni pindi tu ulipozaliwa.
Dont come up with your own conclusions and then ask us to explain your conclusions.
Sasa sisi tunasherekerea kuzinduliwa kwa SGR wewe ukaona tu Museveni hayupo, kisha waja kutuuliza mbona hayupo...Subiri tuzindue ile ya Nai to Malaba uje tena utuulize.
Museveni attended the launching of the construction of Mombasa to Kampala, this is just the half of it, he doesnt have to attend.
Hata Museveni mwenyewe anajua he doesnt have to attend the launching of each and every phase.
pssst, any Kenyan reading this, angusha picha za SGR hapa tusafishe hii thread.
Mk254 taratibu mkuu duhWangekuja mngelia sana, bora hivyo ilivyo kwamba reli ni yetu na itaishia mpakani mwa Kenya na Uganda. Hela zimepatikana na ujenzi umeanza wa kufanikisha safu iliyobaki. Huku Mchina akijiandaa kuileta barabara ya dunia iunge kwenye LAPPSET.
Halafu Uganda alishapewa mojawapo wa vigezo muhimu kwake yeye kupata hela za Mchina lazima baba wa EAC Kenya aridhie.
Vipi kwenu huko naskia mnamfuata hadi Zuma akawatafutie mkopo wa kujenga reli, kila rais akija mnampa kibakuli cha kuomba omba, huyo Zuma mnayemtegemea huwaza mambo ya kuoa wake wengi na kujenga nyumba zake, sasa hayo ya reli mnamhangaisha akili.
Haya mambo hufanywa na watu wa ligi ya juu sio huo ukurupukaji wenu.
haha i think its because the project si not complete yet, hold up we just gettn startedWhen the construction of the SGR was launched this was the image that covered the big story
And this is at the official launch of that Mombasa-nairobi section, something terribly wrong must have happened...
What happened? Uhuru is a deserted and a very lonely man...!
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Livale
When the construction of the SGR was launched this was the image that covered the big story
And this is at the official launch of that Mombasa-nairobi section, something terribly wrong must have happened...
What happened? Uhuru is a deserted and a very lonely man...!
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Livale
Ni kweli kabisa wakifanya mazuri wasifiwe na wakifanya mambaya basi wakumbali matokeaAlisema nani? Hebu acha ujuha wewe wa kufananisha watu ovyo. Ulishawahi kuniona nabishana ovyo kama mjinga? Ukifanya jambo zuri nakusifia lakini ukifanya blunder nakuponda... period!...
At last mmefanikiwa japo kama wanadai gharama mlipigwa kimtindo...kwa uzinduzi huu hongereni sana majirani sasa ni fursa kwenu kufanya mradi huu uwe wa manufaa kwa nchi, nimeona hata kusafirisha kontena moja kutoka Mombasa mpaka Nairobi imekua 1,100,000tsh( 50,000ksh) hii imekaa poa sana...When the construction of the SGR was launched this was the image that covered the big story
And this is at the official launch of that Mombasa-nairobi section, something terribly wrong must have happened...
What happened? Uhuru is a deserted and a very lonely man...!
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Livale
I cant stand the sight of those ugly ass trains...
Your southern brother ameshawachukua COW wote.
Bunjumbura ilikua chini yetu muda mrefu sana.
Kagame amekuja baada ya uchaguzi.
Museveni still believes the southern route is short, economical and safe.
Kenya should join forces with Somalia to deviate SGR following that route.