What do you think this man is thinking about his daughter?

Anasikitika kua alikua akiishi na mwanae nyumbani na kumuona kila siku na kumpatia mahitaji yote muhimu ila kwasasa kwa vile anaolewa,hana uhakika kama mwanae atapata maisha mazuri huko aendako,pia atam misi sana!
 
Hamnaaa, anashangaa jinsi mtoto alivyobadilika ghafla kuitaka dyuduuu haha haha cheki jamaa lilivyokamata kiuno
 
Anawaza: Huyu mwanamme alivyo mrefu, bila shaka na "MAUMBILE" yake ni marefu, mwanangu ataumizwa
 
Halafu naona hio njemba imevaa Pete kidole cha kati,,,,probably atakua mfukua chemba
 
Aahahahahahahhaaa poor daddy, anashuhudia matusi ya mwanae. ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…