This is the man who never fears to speak his mind. Sio wanasiasa wengine wanaoweza hata kukuuzia treni kule ferry.
Bahati mbaya sana mtu kama Trump hawezi kupata uongozi Tanzania. Tunapenda sana kudanganywa kama mazombie (Milioni 50 kwa kila kijiji; Laptop kwa kila mwalimu nchini; Mikopo kwa wanafunzi woooote, tena kabla hawajareport vyuoni mwao)