What do you think of Trump's tweet?

What do you think of Trump's tweet?

NYAMY

Member
Joined
Feb 16, 2016
Posts
14
Reaction score
32
15085731_163754940758019_2746439866126585119_n.jpg
 
Kama hiyo ni tweet yake inamaana kubwa sana, inamana atakayekuwa na hofu ni yule tu anayewafanyia vibaya non-muslim kwenye nchi yake.
 
Trump yupo sahihi kama wewe ni msafi utakiwi kuwa na hofu yeyote..........

Maisha ni magumu sana Saudi Arabia.......

Kwa non-Muslim hasa wanaoenda kufanya Kazi huko wanalijua hili......
 
This is the man who never fears to speak his mind. Sio wanasiasa wengine wanaoweza hata kukuuzia treni kule ferry.

Bahati mbaya sana mtu kama Trump hawezi kupata uongozi Tanzania. Tunapenda sana kudanganywa kama mazombie (Milioni 50 kwa kila kijiji; Laptop kwa kila mwalimu nchini; Mikopo kwa wanafunzi woooote, tena kabla hawajareport vyuoni mwao)
 
Yupo sahihi kabisa hata hawa wafuatao wanajua

Cc: Kikwajuni One
Cc: mjingamimi
Cc: Pohamba
 
Back
Top Bottom