NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 Feb 20, 2013 #21 babu na bibi wanataka kuchumuana machoni mwao kuna watu wanaburudishana na charanga,kushoto kuna kasichana kakula kozi kuona denda la vizee ila kati kati kuna kikombe cha kunywea divai
babu na bibi wanataka kuchumuana machoni mwao kuna watu wanaburudishana na charanga,kushoto kuna kasichana kakula kozi kuona denda la vizee ila kati kati kuna kikombe cha kunywea divai